Kwanini tume ya mishahara SRC itatamatisha shughuli zake mwakani

  • | KBC Video
    20 views

    Tume ya mishahara na marupurupu huenda ikatamatisha shughuli zake mwakani kutokana na uhaba wa fedha. Mwenyekiti wa tume hiyo Lyn Mengich aliambia kamati ya leba kwenye bunge la taifa kwamba tume hiyo inakabiliwa na ukosefu wa ufadhili na haitaweza kuendelea na shughuli zake ifikapo mwezi Januari mwaka ujao. Trevor Ng’endo ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive