Kwanini Uganda itapokea wahamiaji waliofurushwa Marekani?

  • | BBC Swahili
    1,395 views
    Uganda imethibitisha kuingia katika makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji waliokosa hifadhi nchini humo, ikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali ya Rais Donald Trump kushawishi mataifa mengi zaidi duniani kuwakubali wahamiaji waliofukuzwa nchini humo. Hatua hii imekosolewa na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu duniani, lakini kwanini Uganda imeikubali, na inamaanisha nini kwa mataifa hayo mawili? @RoncliffeOdit anaangazia hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV leo usiku, tazama kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bccswahili #uganda #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw