Kwanini utambuzi wa Taifa la Palestina unaleta utata?

  • | BBC Swahili
    1,862 views
    Kuongezeka kwa nchi zinazopanga kulitambua taifa la Palestina, kwa sehemu kubwa kunatokana na taarifa za mateso wanayopitia Wapalestina huko Gaza. Lakini kwa upande mwingine, hatua hii inaonekana kuchochea hamasa ya kuzingatiwa kwa mpango wa Mataifa Mawili - au kwa kiingereza unajulikana kama Two-State Solution. Mwandishi wa BBC @sammyawami anataarifa zaidi 🎥: @frankmavura #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw