"Kwasababu ya ubunifu huu, nilishinda tuzo ya Muuguzi Bora Duniani"

  • | BBC Swahili
    455 views
    Muuguzi wa Tanzania Wilson Fungameza, alibuni na kutambulisha Kifaa Kilichoboreshwa kinachosaidia watoto wenye matatizo ya kupumua ambapo tangu kimeanza kutumiwa kimesaidia kupunguza vifo vya watoto wachanga vinavyotokana na matatizo ya kupumua nchini humo. 🎥@eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #muuguzi