KWS limeandaa kikao Makueni kwa lengo la kukusanya maoni kutoka kwa wananchi

  • | NTV Video
    25 views

    Shirika la wanyamapori nchini (KWS) limeandaa kikao maalum katika mji wa Wote kwa lengo la kukusanya maoni kutoka kwa wananchi kuhusu pendekezo la kuongeza ushuru wa kuingia katika mbuga za wanyama nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya