- 193 viewsDuration: 1:52Wazazi katika kaunti ya Busia wamehimizwa kuwalea wana wao katika msingi wa kidini, kama njia ya kukabiliana na dhuluma katika familia. Visa vya dhulma za kijinsia vinazidi kushuhudiwa katika kaunti ya Busia eneo bunge la Nambale likiongoza. Wanandoa wametakiwa kutafuta ushauri wa mara kwa mara wanapozozana.