KWS na NSSF zaongoza orodha ya idara zenye ufisadi nchini

  • | Citizen TV
    468 views

    Asilimia 43 ya wakenya walitoa hongo kupewa huduma za umma mwaka jana huku sasa shirika la huduma kwa wanyamapori -kws-likiongoza kwa orodha ya idara zilizokula mlungula zaidi ikifuatwa na hazina ya malipo ya NSSF. Kaunti za Uasin Gishu na Baringo ziliongoza kaunti fisadi zaidi nchini huku polisi pia wakisalia juu kwenye ripoti iliyotolewa na shirika la tume ya kupambana na ufisadi EACC hii leo