KWS yaendelea kukusanya maoni ya kuongeza ada za Mbuga

  • | Citizen TV
    174 views

    Wadau katika sekta ya utalii kaunti ya Mombasa wanalalamikia mchakato wa kuongeza ada za utalii ikiwemo kuegesha magari na vifaa vya kitalii wakisema hatua hiyo italemaza juhudi za kufufua uchumi