KWS yasema uwindaji haramu umepungua nchini

  • | Citizen TV
    72 views

    Shirika la Huduma za wanyama pori nchini KWS, limeelezea Juhudi zilizopigwa Kwa ushirikiano na wadau mbali mbalimbali kulemaza uwindaji haramu kaskazini mwa nchi.