KWS yatetea ongezeko la ada za viingilio mbugani

  • | KBC Video
    2 views

    Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini Kenya (KWS) limewahakikishia watalii wa nyumbani na wa kimataifa kuwa Kenya itadumisha gharama nafuu ya huduma za kitalii licha ya pendekezo la kuongeza ada za kiingilio kwa mbuga na hifadhi za humu nchini kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 2007.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive