Laikipia: Mzozo mkali watokota kati ya wakazi na KWS kuhusu matumizi ya ardhi ya malisho

  • | NTV Video
    219 views

    Mzozo mkali unatokota kati ya wakazi wa eneo la Kisargei katika kaunti ya Laikipia na Shirika la Huduma kwa Wanyamapori, KWS, kuhusu matumizi ya ardhi ya malisho katika shamba la Eland Down

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya