Laiser Hill Academy yajikatia tiketi ya Chapa Dimba na Safaricom kutoka Rift Valley

  • | Citizen TV
    226 views

    Mabingwa Laiser Hill Academy kutoka kaunti ya Kajiado, Mwenge FC ya Nakuru, Trinity Mission Girls ya Nakuru na Ol Melil Girl’s ya Narok zimefuzu kwa fainali ya mashindano ya Chapa Dimba na Safaricom kanda ya Rift Valley baada ya kushinda mechi za mchujo zilizochezwa Bomet na Nakuru.