Lavender Owira na Simon Mwaura waibuka washindi wa Bonasi ya Shabiki Supa Jackpot

  • | Citizen TV
    102 views

    Lavender Owira kutoka Kisumu na Simon Mwaura kutoka Limuru kaunti ya Kiambu, ndio washindi wa hivi punde kwenye Bonasi ya Shabiki Supa Jackpot wakijishindia jumla ya shilingi 320,000.