- 25,444 viewsDuration: 25sWakati mahakama ikisitisha vikao vyake kwa muda leo kiongozi wa chama kikuu cha upinzania Tanzania Tundu Lissu amesema kuwa 'Leo amejiandaa', hii ni baada ya hapo jana kuibuka hasira na maumivi Lissu alipoiambia mahakama kuwa hajala. #bbcswahili #tanzania #haki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw