Leonard Mambo Mbotela atazikwa hapo kesho katika makaburi ya Lang'ata

  • | NTV Video
    3,879 views

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa kandanda Leonard Mambo Mbotela atazikwa hapo kesho katika makaburi ya Lang'ata, baaba ya ibada ya kumuaga kufanyika hii leo alasiri katika kanisa la All Saints Cathedral hapa jijini Nairobi.