Lesuuda kuwasilisha mswada wa usalama wa wanabaiskeli barabarani

  • | TV 47
    USALAMA WA WANABAISKELI Mbunge wa Samburu Magharibi Naisula Lesuuda amesema kwamba yupo kwenye harakati ya kukarabati mswada unaozingatia usalama wa wanabaiskeli na wapitanjia katika barabara za humu nchini. #TV47News