Leteni ajenda yenu, Rais Ruto aambia upinzani

  • | KBC Video
    32 views

    Rais William Ruto amewakosoa wapinzani wake wa kisiasa na kuwashtumu kwa kupinga mageuzi yanayotekelezwa na serikali. Rais amesema upinzani ungali kutoa ajenda mbadala tofauti na ile ya serikali ya Kenya Kwanza, na akaushtumu kwa kuligawanya taifa kupitia semi za chuku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive