Libya: Picha za satellite zikionyesha hali ilivyo kuwa kabla na baada ya kimbunga Daniel kutua

  • | VOA Swahili
    542 views
    Picha za Satellite zilizochukuliwa hivi karibuni Jumanne, Septemba 12 zikionyesha uharibifu ulioletwa na Kimbunga Daniel huko Libya ambacho kimeuwa maelfu ya watu na kupelekea watu wasiopungua 10,000 kutoweka. Kimbunga hicho kikubwa cha Mediterranean kilibomoa mabwawa, na kuzoa majengo na kuangusha majumba na robo ya mji huo kwa kiwango kikubwa kuzolewa na mafuriko. - Reuters #Libya #RedCross #RedCrescent - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.