Ligi kuu nchini 2024/25 kuanza jumamosi ijayo

  • | Citizen TV
    168 views

    Mabingwa watetezi gor mahia na mabingwa wa fkf cup police fc hawatakuwa uwanjani wakati ligi kuu ya soka nchini itaanza wikendi hii ambapo mechi saba zimeratibiwa.