19 Sep 2025 2:01 pm | Citizen TV 216 views Duration: 1:20 Ligi kuu nchini msimu wa mwaka 2025/26 inaanza rasmi hii leo katika uwanja wa kasarani hapa nairobi ambapo wanabenki wa kcb wataivaa tusker fc kuanzia saa kumi na mbili jioni.