Ligi kuu ya kikapu

  • | Citizen TV
    504 views

    Timu ya equity dumas imemaliza kwenye nafasi ya tatu kwenye ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini wakiilaza Strathmore blades 71-66 uwanjani nyayo.