Ligi ya BAL Msimu wa Nne: Uganda yaeleza uzoefu wao

  • | VOA Swahili
    76 views
    City Oilers ya Uganda wanazungumzia uzoefu wao katika msimu uliopita wa Michuano ya Mpira wa Kikapu ya Afrika, BAL na hasa kile walichojifunza. Wanasema hawajaweza kufikia matarajio yao katika mashindano hayo. #Uganda #kufuzu #michuano #mpirawakikapu #BAL #afrika #voa #voaswahili