Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika 2024 kuanza Jumamosi 9
Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024: Sikiliza Michezo na Fuatilia Michuano hiyo kupitia Idhaa ya Sauti ya Amerika, Itaanza Jumamosi, Machi 9
Msimu wa BAL 2024 utashirikisha timu za vilabu vya 12 kutoka nchi 12 za Afrika wakicheza michezo 48 ambayo haijawahi kutokea katika mataifa manne ya Afrika – Afrika Kusini, Misri, Senegal na Rwanda – kwa kipindi cha miezi minne, ikiwa ni michuano ya kwanza ya BAL kufanyika Afrika Kusini na kwa mara ya kwanza ligi hiyo itachezwa katika nchi nne tofauti.
Al Ahly ya Misri iliifunga AS Douanes ya Senegal 80-65 ili kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu 2023. Msimu huu unaanza Jumamosi, Machi 9.
Timu za BAL:
A.S. Douanes (SENEGAL)
APR (RWANDA)
Al Ahly (EGYPT)
Al Ahly Ly (LIBYA)
Bangui SC (CENTRAL AFRICAN REPUBLIC)
Cape Town Tigers (SOUTH AFRICA)
City Oilers (UGANDA)
Dynamo BBC (BURUNDI)
FUS de Rabat (MOROCCO)
Petro de Luanda (ANGOLA)
Rivers Hoopers (NIGERIA)
U.S. Monastir (TUNISIA)
#BAL #NBA #basketball #VOA
11 Aug 2025
- Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour.
11 Aug 2025
- This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.
11 Aug 2025
- KUPPET claims that TSC should follow in the footsteps of the National Police Service.
12 Aug 2025
- The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
12 Aug 2025
- KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
12 Aug 2025
- Ruto puts banks to task over constant high lending rates
12 Aug 2025
- Unbowed Lagat returns despite murder probe
12 Aug 2025
- Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
12 Aug 2025
- How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
12 Aug 2025
- Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
12 Aug 2025
- Farmers win round one as court halts duty-free rice importation
12 Aug 2025
- Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business
12 Aug 2025
- Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry