- 116 viewsDuration: 1:29Timu kumi na mbili zilijitosa ukumbini hii leo wakati ligi ya wanaume ya shirikisho la voliboli la kenya likianza tena na mechi sita kwenye ukumbi wa mazoezi wa ndani wa Kasarani. Mechi mbili za mwanzo ziliwapa mashabiki burudani tele zikiisha na matokeo sawa ya seti 3-2.