Limuru: Wakazi walalamika kutokamilika kwa daraja wanayotumia kuvuka katika barabara kuu

  • | NTV Video
    274 views

    Wakazi wa Chungamali Limuru walalamika kutokamilika kwa daraja wanayotumia kuvuka katika barabara kuu ya Nairobi - Nakuru, ambalo limejaa maji na kusababisha hasara kubwa kwao huku iwawalazimu kupitia njia pamoja na wahudumu wa bodaboda kutumia njia mbadala ambazo zinahatarisha maisha yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya