Lionesses Yaichapa Afrika Kusini, Yafuzu Ligi ya Dunia

  • | NTV Video
    57 views

    Timu ya taifa ya kinadada ya rugby, Lionesses, iliibuka kidedea dhidi ya Afrika Kusini kwa alama 17-14 na kufuzu kucheza katika Ligi ya Dunia, Divisheni ya Pili. Nahodha Sheila Chajira ametoa hisia zake baada ya ushindi huo wa kihistoria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya