Skip to main content
Skip to main content

Lissu afikishwa mahakamani

  • | BBC Swahili
    10,892 views
    Duration: 52s
    Maombi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ya kutaka kuunganishwa katika kesi ya mgawanyo wa mali yametupiliwa mbali na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi ya mgawanyo wa mali ilifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Said Issa Mohamed, pamoja na wenzake wawili. Lissu aliomba kuunganishwa, na maombi hayo yaliyopangwa kutolewa uamuzi tarehe 25/03/2026. Hata hivyo, kutokana na faili kuitwa Mahakama ya Rufaa, uamuzi huo ulisogezwa hadi leo April 30. #bbcswahili #tanzania #mahakama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw