- 17,436 viewsDuration: 1:37Kesi inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Ijumaa Februari 20, 2026, ambapo leo mashahidi watatu wa upande wa mashtaka walitoa ushahidi wao. Bosha Nyanje anaelezea yaliyojiri mahakamani. #bbcswahili #tanzania #fyp Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw