LSK inashinikiza uwajibikaji wa polisi huku wakiwataka kuacha kuwateka nyara watu

  • | Citizen TV
    1,262 views

    Chama cha mawakili - LSK- na wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu wanashinikiza uwajibikaji wa polisi huku wakiwataka kuacha kuwateka nyara watu wanaopaaza sauti zao kutetea haki zao na kushinikiza uongozi bora nchini.