LSK inataka Inpekta Jenerali na kamanda wa Nairobi Bungei waombe msamaha chini ya siku 14

  • | TV 47
    53 views

    Chama cha mawakili nchini kimewasilisha kesi mahakamani kikiwashtaki kamanda wa polisi Nairobi Adamson Bungei na Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja kwa kuwatuma polisi wasiovalia sare rasmi na kuficha sura zao wakati wanaharakati walipokuwa wanawasilisha ombi katika ofisi ya rais ya harambee, LSK sasa inashinikiza mahakama kuwapata na hatia adamson bungei na inspekta jenerali wa polisi douglas kanja kwa kuwatuma maafisa wa polsii walioficha suira zao wakisema kwamba huu ni ukiukaji wa amri ya mahakama uliotelwa na jaji bahati mwamuye tarehe 14 mwezi agosti.lsk inasema kwamba haikufaa polisi kuficha sura zao na kuficha nambari zao za usajili wakati wa kuwazuia wanaharakati waliokuwa wanawasilisha ombi katika ofisi ya rais. Sasa LSK inataka inspekta wa polisi douglas kanja na kamanda polisi Adamson Bungei waaandike barua chini ya siku 14 kuomba msamahama na kukiri kwamba hawatarudia hilo la sivyo wafungwe gerezani kwa kipindi cha miezi sita . __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __