- 458 viewsDuration: 2:25Mashirika ya haki nchini yameendelea kuishinikiza serikali ya Kenya na Uganda kufanya hima kuwarejesha nyumbani wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo. Chama cha mawakili nchini LSK, mashirika ya amnesty international na vocal Africa sasa yakisema kuwa hali za kiafya za wawili hao ni mbaya na wanahitaji matibabu ya dharura