Luteni Jenerali Badi arejesha majukumu kwa Gavana Sakaja

  • | Citizen TV
    2,370 views

    Halmashauri ya huduma za jiji la Nairobi NMS inayoongozwa na Meja Jenerali Mohammed Badi leo inarejesha majukumu yake kwa serikali ya kaunti ya Nairobi inayoongozwa na gavana Johnson Sakaja. Gavana Sakaja alidokeza kuwa serikali yake sasa iko tayari kuchukua usukani na alipongeza hatua ambazo NMS imechukua kubadilisha sura na maisha ya wakaazi wa Nairobi.