- 736 viewsDuration: 2:37Luteni kanali George Were amezikwa nyumbani kwake kaunti ya Kisumu, katika hafla iliyohudhuriwa na jamaa na marafiki. Were alimiminiwa sifa kwa upendo na ukarimu wake kwa wote waliomfahamu, huku wandani wake wakimsifia kuwa mkereketwa wa nyimbo za rumba.