Ma-DJ wa kike wa Iran wanaovunja miiko kwa kupiga muziki

  • | BBC Swahili
    536 views
    Sherehe za watu wa jinsia tofauti ni kinyume cha sheria nchini Iran lakini hata hivyo zinafanyika kwa kificho mbali na macho ya polisi wa maadili Baadhi ya ma-DJ wa kike wanaochezesha umati pia wanavunja miiko na kuvuka mipaka ya kitamaduni. #bbcswahili #iran #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw