Ma nyota wa kikapo Marekani Oladipo na Magic Johson watoa wito wa kujilinda na corona

  • | VOA Swahili
    Nyota wa mpira wa kikapu NBA Victor Oladipo na aliyekuwa nyoa wa zamani wa Laker Maigic Johnson wametoa wito kwa jamii kujilinda wakati huu wa maambikizi ya corona.