Maadhimisho ya siku ya nyuki yafanyika Kajiado

  • | Citizen TV
    432 views

    Wafugaji katika kaunti ya Kajiado sasa wameonekana kugeukia ufugaji wa Nyuki kama njia ya mbadala ya kuendeleza tamaduni hii baada ya kiangazi cha mwaka Jana kuwaangamiza mifugo wao. Kwa mujibu wa takwimu za wizara ya Kilimo kaunti ya Kajiado, zaidi ya asiimia 20 ya wakazi sasa wamegeukia nyuki. Na huku ulimwengu unapoadhimisha siku ya nyuki duniani, wakaazi wengi wana matumaini na ufugaji huu.