Maadhimisho ya siku ya nyuki yafanyika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    954 views

    Wafugaji katika kaunti ya Kajiado sasa wameonekana kugeukia ufugaji wa Nyuki. Kwa mujibu wa takwimu za wizara ya Kilimo kaunti ya Kajiado, zaidi ya asiimia 20 ya wakazi sasa wanafuga nyuki. Na huku ulimwengu unapoadhimisha siku ya nyuki duniani, wakaazi wengi wana matumaini na ufugaji huu