Maadhimisho ya siku ya wazee yafanyika katika kaunti ya Kisii

  • | K24 Video
    107 views

    Kenya leo imeungana na jamii ya kimataifa kuadhimisha siku ya wazee huku wito wa kulinda haki za wakongwe ukihimizwa. Shirika la kutetea haki za kibinadamu nchini, KNHCR limesema hatua zimepigwa katika kulinda haki za wazee ila visa vya kunyanyasa wazee vipo katika jamii nyingi.