- 1,453 viewsDuration: 2:59chemichemi ya maji mtaani Blue Estate Shauri Moyo, zimetambua miili ya vijana watatu huku uchunguzi wa maiti ukifanyika katika makafani ya city. Sasa imebainika kuwa ndugu wawili waliofika Nairobi hivi maajuzi kutafuta kazi walikuwa miongoni wa watu wanne walioaga dunia kwenye mkasa huo huku wengine wanne wakijeruhiwa.