Maafa ya anga ya Munich: Tukio la kihistoria la Manchester United

  • | BBC Swahili
    1,035 views
    Tarehe 6 Februari, 1958, historia ya soka ilibadilika baada ya Ndege ya Manchester United, ikiwa imetoka kushiriki mechi ya Kombe la Ulaya, kuanguka mjini Munich, Ujerumani. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu 23, wakiwemo wachezaji nane wa kikosi chipukizi cha ‘Busby Babes’. Ilikuwa ni siku ya huzuni kubwa, lakini pia mwanzo wa hadithi ya ustahimilivu, ujenzi upya, na ushindi wa kihistoria miaka 10 baadaye. Mwandishi wa BBC @loko_omi anasimulia zaidi kuhusu tukio hilo. Makala hii kwa urefu zaidi inapatikana katika ukurasa wa Youtub wa BBCSwahili 🎥: @frankmavura #bbcswahili #uingereza #manchesterunited Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw