Maafa ya mvua ya shuhudiwa Bungoma

  • | TV 47
    21 views

    Shule ya Upili ya Wavulana ya Ac Butonge iliyo katika eneo Bunge La Sirisia Kaunti ya Bungoma, inakadiria hasara kubwa kufuatia mvua kubwa ilionyesha eneo hilo.Mvua hiyo imeharibu mimea, miti, bweni na hata madarasa, huku wanafunzi mia tatu wakikosa mahali pa kulala baada ya paa za bweni na madarasa kubebwa na upepo mkali. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __