Maafisa-6 wa kaunti ya Busia wanaswa kuhusiana na ubadhirifu wa shilingi bilioni 1.4

  • | KBC Video
    55 views

    Maafisa wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamevamia nyumba na ofisi za maafisa sita wa ngazi za juu wa Kaunti ya Busia, wakitafuta ushahidi muhimu kuhusiana na kutoweka kwa takriban shilingi bilioni 1.4 pesa za umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive