Maafisa Harare waonywa kusafisha mitaa wakati raia wakipambana na kipindupindu

  • | VOA Swahili
    29 views
    Maafisa wa mjini Harare nchini Zimbabwe wamepewa onyo la kusafisha mitaa wakati raia wakikumbana na kusambaa kwa mlipuko wa kipindupindu. Mlipuko huo umeikumba nchi nzima na unachukua maisha ya vijana na wazee, huku kukiwa na rekodi ya kesi za kipinduindu takriban 8,087 ambazo zinashukiwa na zile zilizothibitishwa 1,241 hadi Novemba 19, kwa mujibu wa wizara ya afya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.