Maafisa kadhaa wa KDF wafariki kwenye shambulio la Lamu

  • | Citizen TV
    2,811 views

    Wanajeshi kadhaa wa KDF wanaaminika kufariki baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi cha kutegwa ardhini kati ya eneo la Milimani na Basuba wadi ya Basuba kaunti ya Lamu.