Maafisa kliniki nchini wameanza mgomo wao hii leo

  • | Citizen TV
    1,372 views

    Maafisa kliniki wameanza mgomo wao hii leo, huku mgomo wa madaktari unaoendelea nao pia ukiingia siku ya 19. Huduma za matibabu zikitatizika katika hospitali kadhaa za umma nchini.