Skip to main content
Skip to main content

Maafisa kliniki wapiga kambi nje ya ofisi ya gavana Meru

  • | Citizen TV
    39 views
    Maafisa wa kliniki wa kaunti ya Meru walipiga kambi nje ya Ofisi ya Gavana wa Meru huku mgomo wao ukiingia katika wiki ya tatu. maafisa hao wa huduma za matibabu wanataka kaunti itekeleze mkataba wa makubaliano uliotiwa saini. Kati ya masuala wanayotaka yaangaziwe ni kupandishwa vyeo na kuongezewa mishahara.