Skip to main content
Skip to main content

Maafisa tabibu wanasema magavana wanatatiza huduma za afya

  • | Citizen TV
    126 views
    Duration: 1:48
    Muungano wa maafisa tabibu nchini - KUCO, inadai kuwa kamati ya afya katika baraza la magavana, inachangia kutatizika kwa huduma za afya na migomo ya mara kwa mara ya maafisa hao. Wakizungumza katika mahakama ya Nyeri baada ya kutia Saini mkataba wa makubaliano ya kurejea kazini kwa maafisa tabibu wa kaunti ya marsabit, Viongozi wa muungano huo wanashinikiza huduma za afya zirejeshwe chini ya serikali kuu wakisema hatua hiyo itatoa Suluhu kwa changamoto zinazoikumba sekta ya afya.KUCO pia imetaja ubadhirifu wa fedha katika serikali za kaunti kama kizingiti cha kuafikia huduma bora za afya kwa wakenya. Wahudumu hao wamekuwa kwenye mgomo kwa siku kumi na saba,