Maafisa wa DCI wachunguza kifo cha Eileen Cherotich aliyerushwa nje ya gari na mpenziwe

  • | Citizen TV
    23,977 views

    Maafisa Wa Upelelezi Jijini Nakuru Wameanzisha Uchunguzi Kuhusiana Na Kifo Tata Cha Mwanafaunzi Wa Taasisi Ya Sayansi Ya Teknolojia Kubaini Chanzo Cha Kifo Chake.