Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa EACC wamkamata karani wa kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    878 views
    Duration: 2:12
    Maafisa wa polisi kutoka tume ya kupambana na ufisadi nchini ( EACC) wamkamata Karani mkuu wa kaunti ya Nyamira Duke Simeon Onyari kwa madai ya ibadhirifu wa fedha ya ujenzi wa ofisi ya bunge la kaunti hiyo ya kima cha ksh 30M