Maafisa wa IGAD katika kaunti ya Turkana waandaa kikao kuhusu hali ya wakimbizi

  • | Citizen TV
    173 views

    Mkutano wa 12 wa mataifa wanachama wa IGAD umefanyika mjini Kakuma katika eneo la Turkana magharibi